Tunaelimisha, kuwakilisha na kuchukua hatua!

Tunatambua hitaji la mchakato unaoendeshwa na watu kuijenga jamii iliyo bora, yenye haki na usawa kwa wote nchini Finland.

Subscribe for our Newsletter!
We'll send you our newsletter with vital information specific to People of African Descent in Finland!

Vision and Mission

Our Work

Purpose /Objectives

Projects

“AFARS ni shirika lisilo la kiserikali lililobuniwa mnamo mwaka wa 2020 na wanaharakati waafrika, na washika dau wa jamii Helsinki. AFARS lilitokana na maandamano makubwa ya ‘Black Lives Matter’ yalizuka ulimwenguni kote mwaka 2020. ..”

Sauti ya waafrika na watu wenye asili ya Kiafrika nchini Finland inahitajika kwenye ukumbi wa mazungumzo na majadiliano kuhusu ubaguzi wa rangi nchini Finland. Ingawa kuna uongezeko wa idadi jamii na vikundi vyenye vya asili ya Kiafrika, waafrika hawahusishwi katika mijadala hii. Tunaamini kwamba uongezekaji wa majukwaa na sauti dhidi ya ubaguzi wa rangi zitasaidia waathiriwa kukabiliana na shida hili na hata kusababisha kutokomezwa kabisa kwa ubaguzi wa rangi. Nchini Finland, Waafrika na watu wenye asili ya afrika, wakumbana na ubaguzi wa rangi unaoendelezwa na watu wengine wa rangi.. readmore

Kuwa mwanachama na jiunge mtandao wetu!

Individual Membership-Uanachama wa mtu binafsi: Uanachama uko wazi kwa watu wote wenye asili ya Kiafrika wenye umri wa miaka 16 na zaidi, pamoja na raia wa asili wa nchi yoyote ya Kiafrika. Mtu yeyote anaweza kuomba uanachama kwa kujaza fomu ya uanachama (iliyo pigwa chapa au ya elektroniki) na kwa kukamilisha ada ya usajili wa uanachama wa euro tano (5), au itakavyodhibitiwa na Kamati ya Utendaji mara kwa mara.. readmore