Dira
Tunaelimisha, kuwakilisha na kuchukua hatua – Kupinga ubaguzi wa rangi unaendelelezwa na taasisi na miundo chini Finland. Kwa Pamoja tutaijenga jamii bora ambayo haizingatii tofauti za kikabila, jinsia na migawano ya kidini.
Maono
Kujenga jamii ya waafrika na watu wa asili ya kiafrika wanaoishi nchini Finland walio na ufahamu ulio dhabiti, kujitosheleza na kujiwezesha. Raia walio imara kisiasa, kiuchumi na kijamii, wenye fahari na uhuru na wasio watumwa wa dhuluma za kisiasa au ubaguzi wa dini jinsia au rangi nchini Finland.
