Warning: The magic method Members\Registry::__wakeup() must have public visibility in /var/www/afars.fi/public_html/sw/wp-content/plugins/members/inc/class-registry.php on line 66 Kanuni Zetu – African Anti-Racism Society Finland (AFARS)Skip to the content
African Anti-Racism Society Finland (AFARS)
Kanuni Zetu
Kusuluhisha mizozo ya kisiasa kwa njia ya amani, maelewano, mazungumzo na upatanisho.
Tunatenda na kuamini katika majadiliano na sio magombano.
Tunazingatia usawa wa kijinsia katika shughuli zote.
Kuhusisha dini zote katika kila jambo
Uwajibikaji katika kupeana na ugawaji wa rasilimali yote
Njia ya kidemokrasia unaohusisha mtu moja kura kura moja.
Mshikamano wa haki za kibinadamu haki za jamii na usawa
Nafasi za uongozi katika vugu vugu hili zisiwe za hadhi bali utendakazi.