Kanuni Zetu

  1. Kusuluhisha mizozo ya kisiasa kwa njia ya amani, maelewano, mazungumzo na upatanisho.
  2. Tunatenda na kuamini katika majadiliano na sio magombano.
  3. Tunazingatia usawa wa kijinsia katika shughuli zote.
  4. Kuhusisha dini zote katika kila jambo
  5. Uwajibikaji katika kupeana na ugawaji wa rasilimali yote
  6. Njia ya kidemokrasia unaohusisha mtu moja kura kura moja.
  7. Mshikamano wa haki za kibinadamu haki za jamii na usawa
  8. Nafasi za uongozi katika vugu vugu hili zisiwe za hadhi bali utendakazi.