Wanachama

Member of  AFARS, how one can join the NGO

Individual Membership- Uanachama wa mtu binafsi: Uanachama uko wazi kwa watu wote wenye asili ya Kiafrika wenye umri wa miaka 18 na zaidi, pamoja na raia wa asili wa nchi yoyote ya Kiafrika. Mtu yeyote anaweza kuomba uanachama kwa kujaza fomu ya uanachama (iliyo pigwa chapa au ya elektroniki) na kwa kukamilisha ada ya usajili wa uanachama wa euro kumi (10), au itakavyodhibitiwa na Kamati ya Utendaji mara kwa mara.

Associate/Institutional Membership: Ushirika / Uanachama wa Taasisi

Shirika lolote laweza kuomba uanachama kwa kujaza fomu ya uanachama (iliyochapishwa au fomu ya elektroniki) na kwa kukamilisha ada ya uanachama unaolipwa kila mwaka ya euro ishirini (20), au kama itakavyodhibitiwa na Kamati ya Utendaji mara kwa mara.

Wanachama wote watapata haki sawa na majukumu sawa, pamoja na haki ya kupiga kura na kuchaguliwa katika ofisi ya utendaji. Wanachama wanaahidi kushiriki kikamilifu katika shughuli za shirika ili kuendeleza maono na malengo ya shirika ikiwa ni pamoja na kuzingatia kanuni zilizoorodheshwa katika Hati hii.

To request membership, please click here!